Monday, 4 October 2010

Tunasikitika kuwatangazia kifo cha Mchungaji MATIKU THOMAS NYITAMBE
kilichotokea Tarehe 3/10/2010 huko TARIME, MUSOMA-TANZANIA kwa ajali ya gari.

Marehemu alikuwa anasafiri na mpenzi mkewe ambaye naye inasadikika
amepata majeraha. Ni jioni hii tu ndio ametolewa kwenye chumba cha ICU
(Intensive Care Unit).

Michango unaweza kuweka kwenye Acc No13124410 Sort Code 07-02-46 Nationwide
Marehemu ni baba mzazi wa:
1. Beatrice Nyitambe Chisumo (Mke wa Bernard Chisumo)
2. Mrs Veronica Dibogo na,
3. Soni Nyitambeambao wote wapo hapa Uingereza.
Msiba upo
14 Rothwell Walk
Caversham
Reading
RG4 5DB
Kwa mawasiliano zaidi tumia simu zifuatazo:
Benard Chisumo
Mob: (0) 787 612 6862
Home: (0) 118 954 5890-- Jumuiya Ya Watanzania Reading-UKBlog :http://www.tareading.blogspot.com/http://uk.mc274.mail.yahoo.com/mc/compose?to=Email%3Atzra2009@gmail.comTel No: +447865673756

No comments:

Post a Comment